tatizo la kukosa usingizi mama mjamzito....

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,421
Reaction score
18,760
naomba mnijulishe dawa ya kumpatia my wife, anakosa usingizi tangu ujauzito ulipofika mwezi wa saba ....
 
Mkuu kabanga mimi dawa siijiu ila nataka nikupe tu hongera,
 
Last edited by a moderator:
Mimi hali hyo ilinitokea mwanzo mimba ikiwa na miezi mitatu,nilienda hospital,kuna vidonge nilipatiwa vya kunisaidia kupata ucngizi pia wakashauri nisilale mchana,nilijikuta tatizo limeisha bila kujua,akienda clinic awaeleze watampatia tiba na ushauri coz hyo hali inatesa aiseeee
 
Ukipata ufumbuzi tuambie na wengine tunateseka.clinic blah blah tu!
 
Duh! Naona mlioambukizwa mimba mko wengi! Hongereni lakini. Unajua hakuna kipindi kigumu kwenye utoaji wa dawa kama mwanamke akiwa mjamzito. Unapofikiria kutoa dawa unafikiria kwanza kiumbe aliyepo ndani na unakuja kulinganisha na tatizo la mama. Nyie mnapoenda hospitali huwa mnafikiria tu kupewa dawa hata kwenye matatizo yasiyohitaji dawa! Hakuna dawa ya kutibu tatizo la kukosa usingizi zaidi ya kuondokana na kile kinachokukôsesha huo usingizi. Wewe kukosa usingizi hakuleti madhara yoyote kwa mtoto kama hizo dawa mnazotaka muwe mnapewa kila siku. Keep yourself busy in day time and sleep during night. Kama unalala sana mchana kwa kuwa ni mjamzito ni lazima usiku ukose usingizi.
 
Hahaaa kumbe hzi hali tulizonazo tunaambukizwa?kijidudu gani hiko kinachoambukiza?asante kwa ushauri tatizo si kulala mchana niko busy sana sema pozi za kulala ndio zimeisha hasa kwa sisi tuliozoea kulalia tumbo.
 
Kwanza hongera mkuu naomba nikuulize swali mama hiyo mimba ni ya ngapi?

ahsante KIMAMASIMA huu .ni ujauzito wake wa nne, na ujauzito watatu ulimsumbua kama hivi lakini kipindi hicho sikuwapo mjini ...
 
Last edited by a moderator:
Mimi hali hyo ilinitokea mwanzo mimba ikiwa na miezi mitatu,nilienda hospital,kuna vidonge nilipatiwa vya kunisaidia kupata ucngizi pia wakashauri nisilale mchana,nilijikuta tatizo limeisha bila kujua,akienda clinic awaeleze watampatia tiba na ushauri coz hyo hali inatesa aiseeee

jumanne tutamuona daktari tupate ushauri....
 
Dawa zote za usingizi zinaweza kuwa na athari kwa mtoto nazo ni benzodiazepines!!Kwahio atumie technique nyingine tu ili alale usiku mfano auchoshe mwili atembee mchana,aende yoga n.k,Kipindi hicho ni cha mpito tu it will be over soon!

ahsante kwa ushauri mimi49...
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa kumbe hzi hali tulizonazo tunaambukizwa?kijidudu gani hiko kinachoambukiza?asante kwa ushauri tatizo si kulala mchana niko busy sana sema pozi za kulala ndio zimeisha hasa kwa sisi tuliozoea kulalia tumbo.

Ha,ha,ha. Just a joke! Hongereni na Mungu awazidishie uvumilivu. Unajua kwa mtu asiyekuwa vizuri anaweza kukushauri utumie dawa za usingizi kumbe ni kumuongezea shida za ulevi mtoto. Unless uniambie kuna uambukizo ambao unasababisha unakosa usingizi ambao ni lazima utibiwe kwani utaleta shida kwa mtoto pia. Otherwise ni kuvumilia na kutafuta pozi zuri. Mungu akubariki tena, ikiwezekana wawe mapacha.!!
 
Amen!hii dua na iwe ninavyopenda hesabu za haraka.nikipiga two then one nafunga mafile.
 
kawaida sana hiyo hata mimi nilikuwa hivyo kifupi hamna dawa avumilie tu
 
Mie nilikua natembea mfano hakuna najaribu kujichosha lakini wapi almost miez mitatu ya mwisho yote nilikua nakesha acheni tuu

Back
Top Bottom