Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Mkuu mtafute Daktari wa mifugo wewe sio specialist maana utaambiwa uwape dawa utawapa wasipopona utatafuta dawa nyingine mwisho wa siku utatumia gharama nyingi ambazo ungekuita dktr wa mifugo angetatua.Wafugaji mambo vipi?
Kuku wangu wanakoroma/ kukoa sana, sijajua chanzo chake ni nini?
Je, nitumie gani ya dukani au kienyeji?
Kuwa makini, wahi veterinary, isije kuwa wameshikwa na covid-19.Mafua.
Wafugaji mambo vipi?
Kuku wangu wanakoroma/ kukoa sana, sijajua chanzo chake ni nini?
Je, nitumie gani ya dukani au kienyeji?
Sababu yake kubwa ni uchafu au vumbi katika banda
Usipopata matokeo ama wakati ujao achana na hiyo fluban (labda kama itakupa matokeo mazuri). Mafua ya siku hizi ni sugu (mafua makali) hivyo uonapo dalili tumia dawa hii:Mrejesho
Nilienda kwa daktar wa mifugo, amenipa dawa ina itwa fluban,
Nimewata, atleast naona wana hali nzuri.
Sent from my iPhone using JamiiForums