Tatizo la kuona usiku

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
3,230
Reaction score
933
Nimekuwa napata shida sana wakati wa usiku ninapokuwa naendesha gari barabarani, yaani nikipigwa taa na gari mbili tu basi naona maluweluwe tu, nalazimika kuwasha full light hadi mjini hivyo kuwa kero kwa watumiaji wengine wa barabara. Imefikia hatua nachukia kabisa kuendesha usiku. Je kuna tatizo la kuona linaninyemelea? Msaada please.
 
Hilo ni tatizo tena usipoharakisha litakusumbua kunabaadhi ya nerves kwenye macho yako zimeanza kuchoka. Tatizo hilo linatatulika nipigie tuone jinsi ya kulisuluhisha . USISUBILI HADI LIKOMAE 0763797853
 
Thanks mkuu TEK unaweza kuelezea kwa kirefu hapa, jina la tatizo kitaalamu na possible side effects. Mwisho nini tiba yake.
Thanks.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…