mchemsho
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 3,230
- 933
Nimekuwa napata shida sana wakati wa usiku ninapokuwa naendesha gari barabarani, yaani nikipigwa taa na gari mbili tu basi naona maluweluwe tu, nalazimika kuwasha full light hadi mjini hivyo kuwa kero kwa watumiaji wengine wa barabara. Imefikia hatua nachukia kabisa kuendesha usiku. Je kuna tatizo la kuona linaninyemelea? Msaada please.