KERO Tatizo la kupata AVN ni sugu, wahitimu wa iae june 2024 hadi sasa hatuna AVN

KERO Tatizo la kupata AVN ni sugu, wahitimu wa iae june 2024 hadi sasa hatuna AVN

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Magodi Katuni

Member
Joined
May 18, 2023
Posts
27
Reaction score
68
Kuna tatizo sugu kwenye vyuo vya kati hususani chuo nilichosoma mimi cha Institute of Adult Education (IAE). Tangu june 2024 mwaka jana tumehitimu hadi leo hatuna AVN tukifuatilia tunaambiwa jibu lile lile tangu mwaka jana "TUNAFANYIA KAZU" Hili ni tatizo la uzembe wa watumishi kwenye hivi vyuo. mwaka jana tumekosa kwenda chuo na mwaka naina tena tutakosa. maana huwezi dahiliwa chuo kikuu bila AVN. Mtusaidie JF kupaza sauti yetu
 
Back
Top Bottom