Tatizo la kupenda wake za watu!

Fundifundisho

Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
77
Reaction score
18
Binafsi napenda sana wake za watu ila naogopa kukamatwa na wenye mali.,
Ninapokuwa na binti ambaye hajaolewa huwa sipati mzuka kabisa!
Nifanyeje?..
 
una mwisho mbaya kijana...inaonekana unapenda sana miteremko wenzio wahudumie weye kiulaiiini:hatari:
 
Ufanyeje!Oa na wewe wako na wenzio wampende.Kila mla cha mwenziwe?????????????????????????????????????
 
Binafsi napenda sana wake za watu ila naogopa kukamatwa na wenye mali.,
Ninapokuwa na binti ambaye hajaolewa huwa sipati mzuka kabisa!
Nifanyeje?..

Inabidi uache hiyo tabia haraka sana kwani si nzuri!!!

Naona kijana umesahau ule msemo usemao "Muosha huoshwa".

 
Watu wengine wanajitafutia matatizo. Hivi we ukioa halafu mkeo wamlalie utajisikiaje?. Achana na huo mchezo.

Onyo:
Kula wake za watu, ni hatari kwa maisha yako.
 
Msimlaumu sana...............hamjui alianzaje huo mchezo; labda wa kwake aliliwa kwanza ndo maana naye akaona ajaribu aone?
 
Kaulizie kuna jamaa lilikuwa bouncer lina vi hiace kigogo drive-in vingine mwananyamala moroco!!alikuwa anaitwa eddie jitu la miraba 4 nyakusa liloshiba,brother men,tozzi lakufa mtu,zungu launga la miaka hiyo!!!sasa fikiria sifa alizokuwa nazo alipewa kfro changuvu na mijbaba na mjeda ana revover jamaa kaacha magari akaenda unyakyusani kaukimbia mji na mauti ikamkuta huko kwakuwa maisha ya kijijini hakuzoea na msongo vyote vikachanganyikana akafa sasa wewe hauna hata jina mjini utafr mpaka uamue kuolewa maana utaona yanini sasa bora ujiunge na mseng kwnye taarabu!!!kila raheri!!
 
kuoa mbali sana ckushauri,...tafuta demu permanent alafu ugundue,maumivu utakayoyapata tyms mara ta2 tu! Na iman utawaomba msamaha uliowalia wake zao
 
Mkea wa mtu ni sumu yo yo yo usijaribu chombeza,utakuja kukojoa dagaa
 
Huna huruma, huna adabu, huna staha, wala utu kwa binadamu wenzako! Yatakupata makubwa na mabaya utafanyiwa, we endelea na mchezo wako huo.
 
kama hauko tayari kuacha huo mchezo unamwisho mbaya sana na utajuta kuzaliwa wa kiume..mark my words
 
aaah,mke wa mtu akijipendekeza jisevie kwanza nifaida hawana matumizi kama mabinti na isitoshe watakuongezea uchumi.a.k.a wanahonga,kamua mkubwa,mimi kama wewe tu
 
Huna huruma, huna adabu, huna staha, wala utu kwa binadamu wenzako! Yatakupata makubwa na mabaya utafanyiwa, we endelea na mchezo wako huo.

na wanaopenda waume za watu? I hope mapovu haya yangetoka pia kwa issue ya nyumba ndogo!

Mwaya dogo huna makosa; aliyeapa kanisani/msikitini ni mwanamke si wewe! Akikubali kimegee tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…