Tatizo la Kupiga kelele usingizini na kujing'ata ndani ya mdomo

Tatizo la Kupiga kelele usingizini na kujing'ata ndani ya mdomo

saana

Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
62
Reaction score
25
Hilo tatizo mhusika anapiga kelele usingizini na hata kujing'ata ndani ya mdomo kwa magego. Pia anaweza kujiumiza kwa kujigonga kitandani maana husumbuka.

Naomba mwenye ufahamu wa tiba atoe msaada.

Asante.
 
Mi bro angu analala akikoroma macho yakiwa waz...sijui ugonjwa gani huu
 
Pole,

Ni wakati unaweza kumfikisha kwa daktari, hasa daktari bingwa wa magonjwa ya ndani/physician au daktari bingwa wa mishipa ya fahamu/Neurophysician.

Kuna dalili zinazoleta mwangaza wa msingi wa tatizo, ingawa atahitajika hiatoria nzuri ya maisha yake kwa ujumla pamoja na vipimo ili kufikia mwafaka mzuri.

Mi bro angu analala akikoroma macho yakiwa waz...sijui ugonjwa gani huu
Pole sana. Kaka yako ana tatizo lijulikanalo kitaalam nocturnal lagophthalmos.

Afike hospital. Kuna machaguo za njia za kulitatua baada ya kufahamu historia ya tatizo lake.
 
magonjwa kv typhoid, malaria, amoeba, weka mbali na watoto
kapime
 
Back
Top Bottom