Hilo tatizo mhusika anapiga kelele usingizini na hata kujing'ata ndani ya mdomo kwa magego. Pia anaweza kujiumiza kwa kujigonga kitandani maana husumbuka.
Hilo tatizo mhusika anapiga kelele usingizini na hata kujing'ata ndani ya mdomo kwa magego. Pia anaweza kujiumiza kwa kujigonga kitandani maana husumbuka.
Ni wakati unaweza kumfikisha kwa daktari, hasa daktari bingwa wa magonjwa ya ndani/physician au daktari bingwa wa mishipa ya fahamu/Neurophysician.
Kuna dalili zinazoleta mwangaza wa msingi wa tatizo, ingawa atahitajika hiatoria nzuri ya maisha yake kwa ujumla pamoja na vipimo ili kufikia mwafaka mzuri.