bwii
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 1,429
- 2,669
Habari waungwana!
Niende moja kwa Moja kwenye mada.
Kwa siku za hivi karibuni kuna tatizo LA Mimi kupigwa na shoti km ya umeme nikigusana na net ya kitandani na inauma kiasi na pia inanisababishia mshtuko kitu ambacho kinanifanya nikose amani pindi ninapolala.
Pia sio hivyo tu! Mara nyingi tu ninapopeana mkono na MTU km tukisalimiana hivi huwa tunapigwa na shoti na kila MTU anarudisha mkono haraka kwa mshangao japo mm najua hiyo hali kwangu ni kawaida!kwa ambao washapigwa na shoti wakiwa wanasalimiana na Mimi zaidi ya Mara mbili sasa hivi wanaogopa kunishika mkono,hata Shem wenu skuizi akigusana na mm japo ni Mara chache na yy hukutana na hiyo kitu.
Je! tatizo linaweza kuwa n nin?