Tatizo la kupigwa na shoti kila mara

Tatizo la kupigwa na shoti kila mara

bwii

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2014
Posts
1,429
Reaction score
2,669
Habari waungwana!
Niende moja kwa Moja kwenye mada.
Kwa siku za hivi karibuni kuna tatizo LA Mimi kupigwa na shoti km ya umeme nikigusana na net ya kitandani na inauma kiasi na pia inanisababishia mshtuko kitu ambacho kinanifanya nikose amani pindi ninapolala.
Pia sio hivyo tu! Mara nyingi tu ninapopeana mkono na MTU km tukisalimiana hivi huwa tunapigwa na shoti na kila MTU anarudisha mkono haraka kwa mshangao japo mm najua hiyo hali kwangu ni kawaida!kwa ambao washapigwa na shoti wakiwa wanasalimiana na Mimi zaidi ya Mara mbili sasa hivi wanaogopa kunishika mkono,hata Shem wenu skuizi akigusana na mm japo ni Mara chache na yy hukutana na hiyo kitu.
Je! tatizo linaweza kuwa n nin?
 
dah bora waelezee nakumbuka ilishanitokeaga sana kiasi cha kutoa mpla mwanga kila nigusapo net na mguu au mikono tena zaidi nikiwa kwenye giza
 
Hiyo ya kwenye net pia mie iliwahi kumitokea
😝😝😝😝 neti za not for sale hizo sio nzuri nunueni neti wajameni.
.
Hizo material zake ni ngumu na sisi watu wengine miili yetu migumu mno haka kashoti hakana tofauti na cha kwenye vioo vya tv za zamani.
.
Huyu jamaa kafika mbali mpaka akigusana na watu shoti ipo tu khaa! Nenda kwa mganga
 
Tatizo uko "bwii" sana mkuu, punguza.
Isitoshe jaribu kuwasiliana na tanesco iliyo karibu na mahala unapoishi ili waangalie kama kuna uwezekano wa kukufanya uwe unazalisha umeme japo wa kutumia mtaani kwenu.
Wataalamu wa mambo wanasema ukiwa katika hali hiyo unaweza kuzalisha umeme wa matumizi ya kiwango cha kati kwa wastani wa kaya 6 mpaka 10.
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] neti za not for sale hizo sio nzuri nunueni neti wajameni.
.
Hizo material zake ni ngumu na sisi watu wengine miili yetu migumu mno haka kashoti hakana tofauti na cha kwenye vioo vya tv za zamani.
.
Huyu jamaa kafika mbali mpaka akigusana na watu shoti ipo tu khaa! Nenda kwa mganga
Yangu sio ya USAID!
 
Kuna jamaa gari yake ilizima. ghafla nilivyoigusa ikawaka, jamaa alichomoka kwa spidi ya mwanga aisee
 
Basi upande wako wa hasi mwilini utakuwa umezidi chanya
 
hii mostly unatokea kama unatabia ya kusugua miguu chini, na kama material ya beddings au viti vyako haviruhusu umeme huu kwenda ardhini.
Simple solution ni kutembea bila viatu ukiwa nyumban kwako, ila kama inakutokea pia maeneo ya kazini kwako basi jipange kubadilisha kiti cha kukalia
 
Habari waungwana!
Niende moja kwa Moja kwenye mada.
Kwa siku za hivi karibuni kuna tatizo LA Mimi kupigwa na shoti km ya umeme nikigusana na net ya kitandani na inauma kiasi na pia inanisababishia mshtuko kitu ambacho kinanifanya nikose amani pindi ninapolala.
Pia sio hivyo tu! Mara nyingi tu ninapopeana mkono na MTU km tukisalimiana hivi huwa tunapigwa na shoti na kila MTU anarudisha mkono haraka kwa mshangao japo mm najua hiyo hali kwangu ni kawaida!kwa ambao washapigwa na shoti wakiwa wanasalimiana na Mimi zaidi ya Mara mbili sasa hivi wanaogopa kunishika mkono,hata Shem wenu skuizi akigusana na mm japo ni Mara chache na yy hukutana na hiyo kitu.
Je! tatizo linaweza kuwa n nin?
Hizo ni electrostatic charges. Msuguano wa kucha za vidole vyako na net utengeneza umeme usiotembea (umeme tuli).
Wakati mwingine ukigusa mlango wa kitasa cha chuma, electrons utembea kutoka katika mkono wako na kuelekea katika njia yake (current path) kwenda ardhini via mwili wako. Lazima usikie shock fulani ndogo wakati current inatembea.
 
Pia sio hivyo tu! Mara nyingi tu ninapopeana mkono na MTU km tukisalimiana hivi huwa tunapigwa na shoti na kila MTU anarudisha mkono haraka kwa mshangao japo mm najua hiyo hali kwangu ni kawaida!
Tatizo lako hata Mimi ninalo,juzi kuna MTU alikua amenigusa begani kwa vidole alipigwa shoti ya hatari ,Mimi nikigusa vitu vya chuma kwa vidole ,napiga shoti ,hata simu nikiigusa kwa ncha ya vidole natetemeshwa ,

Kuna jamaa nilimuuliza kwanini inakua hivi ameniambia baadhi ya mambo kama assumption sababu yeye kuna MTU anamfahamu na yeye alikua na ilo tatizo
Mosi,labda mwili wangu una kinga sana ,kwahyo nikirugwa zinadunda ,ndio zinatangeza umeme

Mshana Jr MziziMkavu njoooni katika hii mada mwili kuwa na umeme
 
Hizo ni electrostatic charges. Msuguano wa kucha za vidole vyako na net utengeneza umeme usiotembea (umeme tuli).
Wakati mwingine ukigusa mlango wa kitasa cha chuma, electrons utembea kutoka katika mkono wako na kuelekea katika njia yake (current path) kwenda ardhini via mwili wako. Lazima usikie shock fulani ndogo wakati current inatembea.
Hili tatizo ninalo ,nikigusa vitasa,muda mwingine simu hizi za smart ,magrill ya dirisha na mlango napgwa shoti
 
Habari waungwana!
Niende moja kwa Moja kwenye mada.
Kwa siku za hivi karibuni kuna tatizo LA Mimi kupigwa na shoti km ya umeme nikigusana na net ya kitandani na inauma kiasi na pia inanisababishia mshtuko kitu ambacho kinanifanya nikose amani pindi ninapolala.
Pia sio hivyo tu! Mara nyingi tu ninapopeana mkono na MTU km tukisalimiana hivi huwa tunapigwa na shoti na kila MTU anarudisha mkono haraka kwa mshangao japo mm najua hiyo hali kwangu ni kawaida!kwa ambao washapigwa na shoti wakiwa wanasalimiana na Mimi zaidi ya Mara mbili sasa hivi wanaogopa kunishika mkono,hata Shem wenu skuizi akigusana na mm japo ni Mara chache na yy hukutana na hiyo kitu.
Je! tatizo linaweza kuwa n nin?

Hiyo ni dili.
Nunua tranforma uanze kusambaza umeme kwa majirani
 
Tatizo lako hata Mimi ninalo,juzi kuna MTU alikua amenigusa begani kwa vidole alipigwa shoti ya hatari ,Mimi nikigusa vitu vya chuma kwa vidole ,napiga shoti ,hata simu nikiigusa kwa ncha ya vidole natetemeshwa ,

Kuna jamaa nilimuuliza kwanini inakua hivi ameniambia baadhi ya mambo kama assumption sababu yeye kuna MTU anamfahamu na yeye alikua na ilo tatizo
Mosi,labda mwili wangu una kinga sana ,kwahyo nikirugwa zinadunda ,ndio zinatangeza umeme

Mshana Jr MziziMkavu njoooni katika hii mada mwili kuwa na umeme
Hapo kwenye paragraph ya chini kuhusu kinga, Mimi tangu nimepata akili ya kujitambua, sijawahi umwa hata na homa wala Mafua na sasa Nina 30+
 
Mkuu hebu jaribu kujifunga na waya shingoni na kwenye kidole gumba kisha kwenye ncha ya hizo nyaya funga taa uone kama itawaka au la.
Ukumbuke kuleta mrejesho kwa ushauri zaidi.
 
Back
Top Bottom