mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 811
- 396
sawa mkuu,,,,nashukuru kwa ushauri!!!Jitahidi kumshirikisha Mungu kabla haujalala, bila kujali dini gani,, kikubwa muombe Mungu kabla ya kukulala utashangaa haitokei tena hiyo kaka, kikubwa hiyo ni roho ya mauti kwa kila aminie lakini,
Pamoja na maombi pia jitahidi kutokula vyakula vigumu kabla ya kulala kama mihogo, magimbi, ugali, makande, nk
Utakuwa na tatizo linaitwa noctunal seizure nenda muone dr njenje muhimbili haraka sana.