Tatizo la kupoteza fahamu ukiwa umelala

Tatizo la kupoteza fahamu ukiwa umelala

mbisom ramos

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
811
Reaction score
396
Salaam wanajamii,

Nimekuwa na tatizo almost ni mwezi sasa kila ninapolala nahisi kupoteza fahamu.Hali hii hutokea kama ndoto lakini na uhalisia na baada ya muda fahamu hunirejea. Je, linaweza kuwa tatizo gani?
 
Jitahidi kumshirikisha Mungu kabla haujalala, bila kujali dini gani,, kikubwa muombe Mungu kabla ya kukulala utashangaa haitokei tena hiyo kaka, kikubwa hiyo ni roho ya mauti kwa kila aminie lakini,
 
Jitahidi kumshirikisha Mungu kabla haujalala, bila kujali dini gani,, kikubwa muombe Mungu kabla ya kukulala utashangaa haitokei tena hiyo kaka, kikubwa hiyo ni roho ya mauti kwa kila aminie lakini,
sawa mkuu,,,,nashukuru kwa ushauri!!!
 
Pamoja na maombi pia jitahidi kutokula vyakula vigumu kabla ya kulala kama mihogo, magimbi, ugali, makande, nk
 
Pamoja na maombi pia jitahidi kutokula vyakula vigumu kabla ya kulala kama mihogo, magimbi, ugali, makande, nk

hapana mkuu,,,tena sio mpenzi kabisa wa aina hizo za chakula wakati wa usiku,,, hali hii imejitokeza takribani mwezi sasa
 
Utakuwa na tatizo linaitwa noctunal seizure nenda muone dr njenje muhimbili haraka sana.
 
Back
Top Bottom