P Pakada JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 943 Reaction score 1,073 Aug 21, 2024 #41 Nenda hospital, maana wanaume wenhi hamchelewi kumsingizia mwanamke, kumbe shida unayo wewe, wengi mnabaki kujikusanya na ndugu zenu kutukana mwanamke kumbe shida unayo mwenyewe
Nenda hospital, maana wanaume wenhi hamchelewi kumsingizia mwanamke, kumbe shida unayo wewe, wengi mnabaki kujikusanya na ndugu zenu kutukana mwanamke kumbe shida unayo mwenyewe