IamMrLiverpool JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 4,362 Reaction score 6,274 Jul 27, 2015 #1 jamani mnisaidie nina tatizo la kusikia njaa yani nikila saa 3 asubuhi breakfast,saa 8 mchana lazima nisikie njaa nikila lunch basi saa mbili usiku lazima njaa iume tena jamani nisaidieni
jamani mnisaidie nina tatizo la kusikia njaa yani nikila saa 3 asubuhi breakfast,saa 8 mchana lazima nisikie njaa nikila lunch basi saa mbili usiku lazima njaa iume tena jamani nisaidieni
Kaudunde Kautwange JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,644 Reaction score 1,648 Jul 27, 2015 #2 Mmmmmh....sasa we unataka uwe unakulaje yaani...maana mi naona ni normal at...ngoja madaktari waje