Tatizo la kusikia njaa

Tatizo la kusikia njaa

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
4,362
Reaction score
6,274
jamani mnisaidie nina tatizo la kusikia njaa yani nikila saa 3 asubuhi breakfast,saa 8 mchana lazima nisikie njaa nikila lunch basi saa mbili usiku lazima njaa iume tena jamani nisaidieni
 
Mmmmmh....sasa we unataka uwe unakulaje yaani...maana mi naona ni normal at...ngoja madaktari waje
 
Back
Top Bottom