Tatizo la kutetemeka mbele za watu

Ttz ni mapigo ya moyo kwenda kasi Dr cyprian
 
Count kwamba ndugu yako amepona kuanzia sasa. Ni hivi, huyo ndugu yako ana ugonjwa wa Anxiety (Social phobia) na kuna dawa za kutibu ugonjwa huu ambao mara nyingine unaendana na ugonjwa wa drepression. Kwa sasa anaweza akatafuta vidonge vinaitwa Lopram 10mg... Kwa msaada zaidi ni inbox...
 
Thanks Bro used ila naomba email yako ili tuwasiliane zaidi
 
Every drug has got its side effects...sema inategemea na dose ulotumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…