Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mijitu mingine mibichwa ya bure tuAu ndio ameshaanza kutetemeka? Maana hata hapa yuko mbele za watu
Count kwamba ndugu yako amepona kuanzia sasa. Ni hivi, huyo ndugu yako ana ugonjwa wa Anxiety (Social phobia) na kuna dawa za kutibu ugonjwa huu ambao mara nyingine unaendana na ugonjwa wa drepression. Kwa sasa anaweza akatafuta vidonge vinaitwa Lopram 10mg... Kwa msaada zaidi ni inbox...Kuna ndugu yangu mkubwa tu serikalini mwanzoni alikuwa safi ila kadri miaka inayokwenda sasa anamiaka 43 ameanza tatizo la kutetemeka akiwa mbele za watu kiasi cha kushindwa kushika kitu hata kijiko.
Msaada wenu unahitajika hata namba za simu za mahali tunaomba.
Anakosa raha sana amekuwa akiniuliza wapi atapata tiba ya tatizo lake nimekosa majibu.
Ok...ajaribu tumia small doses za better blockers (e.g carvedilol) kabla ya kwenda kuface watu! Zitmweka calm
kujiamini tu ndo mwisho wa tatizo.Dr cyprian inatokea akiwa mbele za watu hawezi kufanya kitu hasa asiowazoea