Ugonjwa wa kutetemeka Mikono aka (Parkinson's Disease) unatokana na Mishipa ya Fahamu iliyoko kichwani kupoooza na kutofanya kazi yake vizuri ndio sababu kubwa ya hayo maradhi ukiwahi kutibiwa unapona.Wana JF, Wataalam wangu, naombeni kuuliza, ugpnjwa wa kutetemeka mikono husababishwa na nini na tiba yake ni ipi? Yaani utaona watu hasa watu wazima na wa makamo wakitetemeka mikono kiasi kwamba hata wakishika kitu kama gilasi inaweza kuwaponyoka na kuanguka chini.
Msaada wenu unahitajika hapa tafadhali.
kapime vidonda vya tumbo
ndugu zangu naomba msaada nina tatizo la kutetemeka mikono mara kwa mara hasa nikiwa nina njaa. sasa wakuu sijajua sababu hasa ni nn na tiba yake pia.
naomba mnisaidie
Mkuu nitafute ivo sio vidonda vya tumbo tiba ipo 0717556768
ndugu zangu naomba msaada nina tatizo la kutetemeka mikono mara kwa mara hasa nikiwa nina njaa. sasa wakuu sijajua sababu hasa ni nn na tiba yake pia.
naomba mnisaidie
Nenda Hospitali kapime kwenye Mishipa ya ubongo wako ipo sawa kiafya?ndugu zangu naomba msaada nina tatizo la kutetemeka mikono mara kwa mara hasa nikiwa nina njaa. sasa wakuu sijajua sababu hasa ni nn na tiba yake pia.
naomba mnisaidie
Mkuu nitafute ivo sio vidonda vya tumbo tiba ipo 0717556768
Vipi ushawahi kuwa mdau wa karibu wa konyagi na viroba?? Hizi bidhaa husababisha kutetemeka sana
hadi leo ni mdau aisee