Wana JF!
Wataalam wangu, naombeni kuuliza, ugpnjwa wa kutetemeka mikono husababishwa na nini na tiba yake ni ipi? Yaani utaona watu hasa watu wazima na wa makamo wakitetemeka mikono kiasi kwamba hata wakishika kitu kama gilasi inaweza kuwaponyoka na kuanguka chini.
Msaada wenu unahitajika hapa tafadhali.