Tatizo la kuto kusimamisha vizuri

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,479
Reaction score
1,348
Hello wadau wa JF nawasalimu
Wadau Nina ndugu yangu na ni rafiki wa karibu kabisa yeye anaumri wa takribani miaka 37 hivi ,anashida ya kuto kusimamisha vizuri yani machine ikisimama tu mpaka kumaliza kuvaa kondom inakuwa imepunguza kasi ya usimamaji mpaka iboostiwe tena ndio isimame lakini sio kwa kiasi cha kuwa ngangali sana ,kwa maelelezo yake anadai alishawahi kupiga punyeto kipindi cha nyuma ingawa sasa kaacha kabisa na kunasiku moja nilishamfuma anakiwasha kipindi hicho kwenye shule za bweni .Alishawahi kwenda hospital kubwa kabisa alifanyiwa vipimo vingi ikiwepo Full blood picture ,Kisukari ,Pressure nk lakini Dr alimueleza hakuna tatizo lolote ,so mchango wenu wandugu tunaweza kumuokoa rafiki ingawa sasa hivi kaoa na anawatoto wawili .
 


Imani yangu kubwa ya tiba ya kwanza ni chakula unachokula na life style.

Sukari ni sumu kubwa katika maisha, epuka soda, pombe, sukari kwenye chai nk.

Kula wanga na nyama kidogo ukijazia mboga mboga kwenye sahani.

Kunywa maji, herbal teas na kufanya mazoezi

Usipitishe siku bila kula matunda angalau matano ya rangi tofauti.
 
Kwani ukisema ni tatizo linalokusibu wewe unadhani utakosa kusaidiwa mawazo?
 
Kwani ukisema ni tatizo linalokusibu wewe unadhani utakosa kusaidiwa mawazo?
Hapana ndugu ni jamaa yangu ,simu yake imesumbua sasa hivi hana smart ,that's why nimeona nimpostie hapa
 
Kama anapiga punyeto mwambie apunguze walau apige mara mbili kwa week...hiyo ni punyeto inalegeza misuli.

Vyakula kama alivyoainisha Sky Eclat hapo juu.
Alishaacha zaidi ya miaka 3 now ,na ameoa pia
 
Kwani ukisema ni tatizo linalokusibu wewe unadhani utakosa kusaidiwa mawazo?
Ila wabongo tunafali sana ,hivi hairuhusiwi kuadress matatizo ya ndugu au jamii inayokuzunguka humu ,ebo tujitahidi kuwa wastarabu kwenye shida za watu.
 
Polemkuu naona unamsingizia jamaa wakati ni tatizo lako....sasa hautopata msaada kama unajificha jificha
 
Umetisha mkuu,
ushauri maridadi!
 
Visababishi
1. Stress au msongo wa mawazo
Mkuu nisikufiche, nikiwa sina hela wala sitiani, najua nitaaibika tu. Ila nikizipata baba, heeehe
2. Kutojiamini
Kwa kuwa anajijua ana hiyo hali, sasa unakuta akija demu anaiwazia kitu yake, kama vile" hivi hii leo haitaniangusha kweli?" Anajijengea hofu, anafeli kweli
Sasa hapa, ukutane na demu muelewa, ukikutana na kichwa maji, anakupa mineno hiyo ndio kabuu kanazidi kusinyaa, hahahahaaa kwani uongo, tuambizane hapa.
3. Kupania sana
Unakuta mtoto amekwambia kesho nakuja, unaamka asubuhi, soap soap nini, kila ukimuwaza mtoto kitu yako inasimama, kisha inalala, inasimama, kisha inalala, misuli unaichosha hivyo, mademu wenyewe wa kiswahili hawa akwambia aja saa nne asubuhi afika ghetto saa kumi jioni, tena akifika akwambia hata sikai sana nataka niondoke, haya niambie, kuanzia asubuhi mpaka jioni ushaisimamisha na kuilaza mara ngapi, una nguvu tena wewe mxiuuu
4. Pornography
Mzee baba ukifungua porno unakazi ya kusearch bigass, bigbooty, fatass yanakuja madude hayooo, yameshiba kwelikweli, mizuka inapanda dudu linasimama mpaka unajishangaa huwa unafeli vipi mbele ya mademu, unasahau videmu vyako ni vile vimbaumbau, acha kuendekeza mipira iliyokufa, tafuta demu ambae hatokuisha hamu, hata ukitazama porno, unajisemea moyoni dah zigo kama la wife.
5. Mazoezi
Dah washikaji acheni utani, ku du kwataka pumzi aisee, hahaaah, sasa jombaa pushup hupigi, kamba huruki, wawezaje wewe kusimamia kucha. Fanya mazoezi aisee, kitambi, unene sio tatizo ikiwa unafanya mazoezi.


Vipi tunasikilizana mliokaa huko nyuma au niongeze sauti?
 

Naimani mleta mada ushapata ufafanuzi wa swali/maswali yako...



Cc: mahondaw
 
Mshikaji sema kwenye mazoezi yupo vizuri sana ,mwanzoni alikuwa mvivu kidesign ila sasa hivi anapiga sana tizi.
 
Itakua unampenda sana mshkaji.Umeanza kumhangaikia kitambo sana. Big up bro

If you know you know

 
Ni rafiki yangu mkuu ,tumesoma pamoja toka shule ya msingi mpaka A-level halafu kazi tulianza pamoja ,sema kinachonisikitisha siku moja nilimtembelea geto alikopanga nikakuta kuna kidemu kinawaka mbaya kinamchamba jamaa kwamba mashine haisimami vizuri ,daa nilijisikia vibaya sana kwa sababu jamaa hakuwai niambia hii kitu,usiombe yakukute aisee kuna wanawake micharuko aisee hatari.
 
Ulimchambaje
 
Ulimchambaje
Sisi wanaume huwa hatuchambani ,huwa tunasaidiana ndio maana niliamua kulileta hapa maana najua kuna wabobezi wa matatizo kama haya na Solutions zake
 
@Mzizimkavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…