Tatizo la kutoa manii yenye mbegu chache, victoria therapies tupo kwa ajili yako kukuondolea tatizo.

Tatizo la kutoa manii yenye mbegu chache, victoria therapies tupo kwa ajili yako kukuondolea tatizo.

nyanja255

Senior Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
103
Reaction score
59
TATIZO LA KUTOA MANIII YENYE MBEGU CHACHE (OLIGOSPERMIA) FAHAMU SABABU DALILI NA MATIBABU
Ni ile hali ya manii ambayo mwanaume kuyatoa baada ya kufika kileleni kubeba mbegu chache ambazo ziko chini ya million 15 ktk kila milimiter/ cc ya manii.

Uzalishaji wa mbegu za kiume ni mchakato unaohitaji korodani ambazo zina afya nzuri na zina fanya kazi vizuri, pamoja na hypothalamus ambayo ni sehemu ya ubongo na pituitary grand ni tezi ambayo ipo ktk ubongo inayozalisha hormone (vichocheo) ambavyo vinasaidia uzalishaji wa mbegu za kiume.
 
Back
Top Bottom