Tatizo la kutoka damu ukeni baada ya tendo la ndoa

Tatizo la kutoka damu ukeni baada ya tendo la ndoa

UZEE MVI

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
232
Reaction score
58
Salama wakuu.

Heshima kwenu.

Lipo tatizo ambalo linawakuta baadhi ya wanawake ambapo hutokwa na damu mfululizo siku kadhaa mara baada ya kufanya tendo la ndoa. Damu hii inakuwa kama ile inayotoka wakati wa Hedhi. Je, tatizo hili linaweza kuwa linasababishwa na nini na tiba yake inaweza kuwa ni nini?

Enyi madactari mliopo humu JF, toeni elimu ili watu wapone na Mungu atawabariki sana.
 
Majibu please Madaktari kama mpo
 
Back
Top Bottom