Tatizo la Kutoka Upele Kichwani

NYACHA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
273
Reaction score
66
Wadau nawasalim wote! naombeni msaada kwa watalaam wanaojua kutibu tatizo la kuwa na upele mwingi kichwani. Mdogo wangu ana miaka 5 sasa na tatizo hili, akilala usiku kuna wakati mwingie anakuta chembe chembe za dam kwenye mto wa kulalia. Tatizo hili huwepo muda wote bila hata kunyoa nywele, akinyoa nywele ndo hali inakua mbaya zaidi kwani maupele hutokea mengi sana yenye usaha. Huwa hasikii maumivu yoyote. Hali hii imepelekea uotaji hafifu wa nywele. NAOMBA MSAADA KWA ANAYE JUA TIBA. Thanx.
 
NYACHA...pole kwa hayo ya mdogo wako!binafsi maswali ya afya huwa ni sensitive sana...unapokuwa unaomba msaada inabidi pia uwaeleze wachangiaji ni juhudi zipi na dawa ipi mshatumia ili hata wakishauri kuhusu dawa iwe haswa na ile ambayo hamjajaribu...lkn pia hosp ni muhimu kwenda,huku kuna wataalamu ndiyo ila wengi ni washereheshaji tu kama nilivyo mimi!!
 
Last edited by a moderator:
Mwambie apakae mafuta ya nazi ndiyo dawa yake.

Ukihitaji haya mafuta nitafute +255769142586 pia kwenye whatsapp kwa namba hiyo hiyo
 
Ni kweli kabisa, ukiwa na tatizo la kiafya ukaelezea kwa kirefu jinsi ulivyoshughulika nalo na umekwama vipi ni rahisi mtu mwingine anayefahamu kukuelekeza njia mbadala.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…