NYACHA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 273
- 66
Wadau nawasalim wote! naombeni msaada kwa watalaam wanaojua kutibu tatizo la kuwa na upele mwingi kichwani. Mdogo wangu ana miaka 5 sasa na tatizo hili, akilala usiku kuna wakati mwingie anakuta chembe chembe za dam kwenye mto wa kulalia. Tatizo hili huwepo muda wote bila hata kunyoa nywele, akinyoa nywele ndo hali inakua mbaya zaidi kwani maupele hutokea mengi sana yenye usaha. Huwa hasikii maumivu yoyote. Hali hii imepelekea uotaji hafifu wa nywele. NAOMBA MSAADA KWA ANAYE JUA TIBA. Thanx.