Tatizo la kutokukomaa kwa mayai

amazon

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
55
Reaction score
13
Habari zenu wana JF..
Nilienda hospitali kwa ajili ya check up.. Majibu yaliyokuja nikaambiwa mayai yangu hayakomai hivyo lazima nitumie dawa nikitaka kuconceive, nimepewa dawa lakini sijaanza kuzitumia kwa kuwa sina mpango wa kuzaa kwa sasa..Nauliza kama kuna vyakula au matunda ya kutumia zaidi ya hii dawa niliyopewa hospitali ( Bromocriptine).
 
Wataalam wa matunda wanakuja,lakini naona hizo dawa usitumie kwakuwa by now mpango wa kuzaa huna.
 
Kama huna mpango wa kuzaa ulienda kutafuta nini hospitali pia angalia umri usikutupe mkono
 
Kama huna mpango wa kuzaa ulienda kutafuta nini hospitali pia angalia umri usikutupe mkono

hili nalo swali? Check up inatakiwa hata kama haumwi, pole sana kwa uelewa wako finyu!
 
tusubiri wataalam kwa ulewa wangu mdogo kuna vyakula vya lishe haswa protein, vitamin, bila madini ya chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…