Habari zenu wana JF..
Nilienda hospitali kwa ajili ya check up.. Majibu yaliyokuja nikaambiwa mayai yangu hayakomai hivyo lazima nitumie dawa nikitaka kuconceive, nimepewa dawa lakini sijaanza kuzitumia kwa kuwa sina mpango wa kuzaa kwa sasa..Nauliza kama kuna vyakula au matunda ya kutumia zaidi ya hii dawa niliyopewa hospitali ( Bromocriptine).