Tatizo la kutokula nyama

Klaas

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
216
Reaction score
175
Hodi wanajf, kama kichwa cha taarifa kinavyojieleza. Napenda kujua nini huwa tatizo kwa baadhi ya watu kushindwa kula nyama kama ya mbuzi na ng'ombe, na endapo watakula basi hupata matatizo mbalimbali kama ya kutokwa na vipele, majibu nk. Nini huwa tiba ya hili tatizo hili.
 
Ni wako allergic na nyama hiyo, wafanyiwe allergy test.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…