Tatizo la kutokuona mbali (Myopia)

Tatizo la kutokuona mbali (Myopia)

Jitahidi kula mboga za majani kwa wingi, kula matunda mengi pia punguza kula nyama, maharage, dagaa etc. Replace kwa kula vyakula vyenye ukijani kijani kwa wingi

Epuka kuvaa sana miwani mda wote, vaa pale inapokubidi tu. Epuka kutazama TV mda mwingi tena hasa hasa ukiwa Karibu nayo sana

Epuka pia kusoma kwenye mwanga hafifu ambayo utafanya misuli yako ya macho kutumia nguvu nyingi kuona kitu ambacho kitasababisha misuli kuchoka baadae

Ukizingatia hivi utapunguza tatizo kwa kiasi kikubwa au kulimaliza kabisa.

All the best!
 
Mimi nilipata shida hiyo nikiwa advance. Niliteseka sana, na kabla ya shida hiyo kunipata nilikuwa kipa wa kutegemewa. Sasa nikawa nawaambia wenzangu kuwa siwezi kusimama golini coz sioni vizuri lakini wakawa wananilazimisha. Mipira ilikuwa inapita kama hakuna MTU golini.

Baadaye nikaja kwenda hospitali nikapimwa miwani, lensi zote zikagoma kusapoti uoni. Nikarudishwa kwa daktari akanipa vidonge vitamin B, lakini wapi? Baada ya dozi ile kuisha nilienda duka la madawa nikihitaji vitamin B lakini wakasema hawana ila wana vitamin B complex, wakanipa hivyo. Baada ya kutumia hali ilibadilika kidogo.
Sisemi moja kwa moja kuwa vilinisaidia, ila hali yangu ya sasa si kama zamani. Nadunda tu bila miwani. Ila kipindi kile, magari yalikuwa yakipita pembeni yangu siwezi soma hata plate number. Mungu ni mwema.

Mzee ukiwa fiti urudi kwenye soka tuna shida ya makipa sana ona huku yanga hili likipa letu kuuubwa halina matatizo ya macho lkn kina kichuya wanatupia tu kiulaini
 
Back
Top Bottom