Tatizo la kutokupiz linasababishwa na nini hasa?

Tatizo la kutokupiz linasababishwa na nini hasa?

Angalia chakula una chokula (punguza miwanga na ongeza protini),fanya mazoezi,lala vizuri pia kula vitu flan vya saiki kama kitunguu swaumu,nazi ile kavu,karanga mbichi.punguza mawazo wakati wa tendo na kuyarudisha mchezoni
 
hyo inasababishwa na matumizi ya kasongo kwa muda mreno mwisho wake ndo hvyo wareno huwaoniB-)
 
Wengine wanasema ukipiga punyeto sana, inasababisha kuwahi kupizi.

Mi nafikiri tatizo linaweza kusababishwa na kufanya mapenzi akiwa na msongo wa mawazo, hivyo ajaribu kufanya mazoezi vizuri pia kubalance chakula kiwe katika mlo kamili, kunywa maji mengi na mwisho kabisa aondoe stress na mawazo mengine hasa wakati wa tendo lenyewe.

Ukizingatia haya lazima wazungu watoke tena fasta.
 
Kama unafanya sanaaaa mazoezi, hisia huwa mbali...nguvu zinakuwepo ila hisia zinakuwa mbali mno, kiufupi hata utamu huusikii! Punguza mazoezi au acha kwa muda...kisha utaanza tena baada ya hali kukaa sawa!!!
 
Back
Top Bottom