Tatizo la kutokuweza kula vizuri

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
3,333
Reaction score
2,484
Wataalam msaada katika hili nina mpenz wangu anatatizo hili la kushindwa kula nimemuhoji anasema njaa anapata ila akila anakula kidogo sana baada ya hapo hawez kula anameza kwa shida had anahis kama atatapika hv ninin litakuwa tatizo maralia hana typhoid hana..
 
Mie kama ni minyoo itakua imetumwa maana nina tatizo kama hilo zaidi ya miaka10
 
chanzo ni hivi virusi vya kisasa
 
Atumie vitamin B atakula bila kutaka.
 
jamaan hilu tatizo mwenyew linanitesa jaman nmekunywa dawa hadu basi saa ingine nawaza natafuta hela ya nin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…