Tatizo la kutokwa damu kwenye uume!

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
1,812
Reaction score
1,373
Habari wana JF?
Nina tatizo huwa nikiamka asubuhi na kwenda chooni mara chache chache nakuta matone ya damu kidogo yamegandia kwenye kichwa cha uume wangu,au mara nyingne kikifanya mapenzi manii kutoka na vijidamu kidogo! je? hili tatizo ni la nini? na jee linasababishwa na kitu gani?

Ushauri wenu please.
 

Umri wako?
Kuna maumivu, muwasho? unashida yeyote wakati wa kujisaidia haja ndogo/kubwa mf. maumivu, kushindwa kumaliza haja?
- Baadhi ya maswali yanaweza kuwa personal/ya kiundani sana mf. kama ulikwisha wahi ugua magonjwa ya zinaa, mara ngapi, lini na kama ulishawahi kupata matibabu.
- Pili uwezekano wa shida ya baadae sana inayosababishwa na kichocho, iwapo uliugua zamani, kulima mpunga, kuogelea katika madimbwi na ziwa n.k
- Tatu, inawezekana madhara ya kemikali za viwandani hasa iwapo umefanya kazi kiwandani, au kuishi kutumia maji ambayo yanaweza kuwa yamechanganyikana na kemikali za viwandani!

Kuna vitu vingi vinavyoweza kusababisha matone/damu kutoka katika uume. Lakini kwa maelezo yako, inaonyesha/inaonekana tatizo ni la muda mrefu! Ningekushauri ufike HOSPITALI uonane na daktari.

Pole.
 

okey umri wangu ni miaka 24 cjawah kuumwa ugonjwa wowote wa zinaa, wala huwa sisikiag maumiv yeyote wakt wa kujisaidia.
 
Uwiiiiiii, kimbia fasta hospital, usije kuanza pata hedhi bure.
 
okey umri wangu ni miaka 24 cjawah kuumwa ugonjwa wowote wa zinaa, wala huwa sisikiag maumiv yeyote wakt wa kujisaidia.
napata hisia kwamba uko exposed kwa chemicals za viwaaaandani.

sijui kwann naona eti unafanya kazi ama kiwanda cha nguo, ana ngozi ama madini cha kufanya ndugu yangu occupational health inakuhusu zaid. nenda kamwone dr lakin pia fanya utaratibu wa kuwa na protective gears uwapo kazini.

Lakin kama hisia zangu zinaniongopea basi inawezekana una kichocho pasi kujijua....wahi matibabu haraka.
 

cfany kaz kiwandan mkuu!
 
mmmh!!
niambie unapokojoa sema ukweli wako unaweza kaurusha mkojo umbali gani toka ulipo simama??
je 1/2mita, 1m,3m, 1/4m??

mkojo hauruki sana in short hauna presha kubwa sana na kuna wakati mwingine huwaga nackiaga mkojo na nikienda choon hukojoa mkojo mdogo sana.
 
Polesana kaka!ni kwa mdagan tatzo hilo linakusumbua?pia maelezo yako wazi ni dalili za prostate anlargement.ni kwamba unadalili za kubana mkojo siku chache zijazo ndugu kama uko karibu na hospital jitaidi ukachukue vipimo.pia kama una weza naomba uwasiliane namimi,huwa natibu matatzo ya kibofu cha mkojo.hata kama mkojo unatoka kidogokidogo na kwa maumivu makali ama laa!pia iwe mkojo unatoka mfululizo ukitumia dawa unapona hata kama mgonjwa anampira wa kutolea mkojo atapona.na dozi ni kwa wiki 4 tu.ahsante kwa mengi zaidi ntafute kwa 0759217720
 
Hilo Ni Tatizo Ambalo Huwapata Watu Ambao,mara Nyingi Uume Husimamisha Kwa Mda Mrefu Na Huishia Lutofanya Tendo La Ndoa,kuna Mishipa Huasirika Na Kusababisha Vijidamu Kutoka. Jaribu Tiba Ya Kunywa Maji Ya Vuguvugu Kwa Wingi Ili Kupata Mkojo Mwingi Utakao Safisha Kibofu Na System Nzima Ya Mkojo,likiendelea Kamwone Daktari Haraka
 
Kichocho! kamwone Daktari. Ukizembea utakuja kushindwa kukojoa uwekewe mpira wa kukojolea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…