Tatizo la kutokwa na damu baada ya kumaliza tendo la ndoa

Tatizo la kutokwa na damu baada ya kumaliza tendo la ndoa

Chogotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
236
Reaction score
105
Habarini Za Muamko Kizazi Cha JF..

Nipo hapa kuomba msaada juu ya tatizo hili..,nimalizapo kusex na mama watoto huwa nakuta mabaki ya damu kwenye vitambaa ambavyo hutumia kujifutia japo s nyiiingi saana,huwa tunajiuliza shida ni nini?

Na hii hali hujitokeza mara moja moja...,naombeni uvumbuzi juu ya hili tatizo...
 
Je, hilo tatizo humtokea pia pale amalizapo damu ya hedhi?

Awahi hospitali kwa uchunguzi zaidi maana yaweza kuwa ni dalili za mwanzo kabisa za saratani ya shingo ya kizazi.
 
muone daktari inawezekana ana tatizo la kansa ya kizazi possibly cervical cancer..
 
Inawezekana hamuandaani vizuri unamchubua au ana tatizo la uvimbe kwenye kizazi. Mwambie akacheck afya yake ya uzazi. Hilo si la kupuuza
asante nitakuwa makini juu ya hilo na ushaur umemfikia...
 
usilipuuzie kabisa, wahi kituo cha afya unachokiamini; usiende vizahanati vya uchochoroni.
Ila ikibidi muandae vizuri hata pakikauka tumia utundu palowane
asante saaana mkuu..ntalishughulikia ipasavyoo
 
Kimbilieni hospitali fasta na haraka zaidi huku sio first AID. Acheni mzaha na maisha.
 
Back
Top Bottom