Tatizo la kutokwa na damu baada ya kumaliza tendo la ndoa

Tatizo la kutokwa na damu baada ya kumaliza tendo la ndoa

Asanteni Nyoote Kabla Ya Kufika hospital nilijitahidi kufanya yale mliyonishauli na tatzo likatoweka kabisaaa...

Na baada ya kufika hospital kupima mkojo na vingnevyo kukawa hakuna tatzo loolote zaid ya mkojo kuwa mchafu lakin s kwa kiwango kikubwa...

Sasa hivi hakuna tatzo kabisa cos nafuata vgezo na mashart..akhsanten
 
Siyo kukimbilia tu kwenye kansa. Jamaa inawezekana Ana Dudu kubwa kuliko K ya mke wake
 
Back
Top Bottom