Tatizo la kutokwa na haja ndogo wakati wa tendo la ndoa

baba sumayyah

Senior Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
109
Reaction score
137
Ndugu zangu wapendwa katika jukwaa hili, natumai mu wazima wa afya tele. Mwenyezi awazidishie uzima na afya.

Kama nilivyotanguliza hapo juu naomba kwa wenye ujuzi katika mambo ya afya/afya na mahusiano wanisaidie kung'amua hali hii hutokana na nini.

Nimepokea ujumbe kama huo kwa wanawake tofauti kuwa na tatizo au hali hiyo Wakati wa Tendo la ndoa.
 
Hil I swali mbn halionyeshi wapi limesimama kwa M au K
 
Fistula
 
hao wanawake wanakupa ujumbe wewe kama nani kwao?
 
hao wanawake wanakupa ujumbe wewe kama nani kwao?
Mimi ni mwana jamii tu wa kawaida lakini nina play part yangu katika kuwashauri ndugu zangu mambo mbali mbali. Na hili limekuja kwangu kutoka kwa rafiki zangu wa kiume kuhusu wenza wao katika ndoa. Ni jambo wanalieleza kama sifa lakini kwangu nimehisi ni kama tatizo thus why nimekuja kuuliza. Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…