Tatizo la kutokwa na haja ndogo wakati wa tendo la ndoa

Tatizo la kutokwa na haja ndogo wakati wa tendo la ndoa

Tatizo la mwanamke kushikwa na haja ndogo katikati ya tendo kinaashiria kuwa mwanaume ana nguvu za kiume kwamba akianza kumpelekea moto mke kuanzia asubuhi anafululiza hadi jioni bila kupumzika, hivyo mwanamke lazima atataka kukojoa Kwa sababu binadamu Kwa siku lazima akojoe at least mara tatu na kuendelea Kwa siku.
Ahsante kwa mchango wako
 
Kukojoa tu wakati wa tendo pekee! natiliashaka pengine Kuna maelezo mengine hujaweka wazi, labda kama kutakua na dalili nyingine kwenye njia ya mkojo hasa kwenye misuli (Sphincter) Iko na inflammation. Kawaida haiwekani kufanya kazi kwa pamoja lazima vipeane nafasi/muda hata haja kubwa na ndogo hupeana nafasi/muda.
 

Attachments

  • Screenshot_20250330-171739.png
    Screenshot_20250330-171739.png
    839.3 KB · Views: 17
Kukojoa tu wakati wa tendo pekee! natiliashaka pengine Kuna maelezo mengine hujaweka wazi, labda kama kutakua na dalili nyingine kwenye njia ya mkojo hasa kwenye misuli (Sphincter) Iko na inflammation.
Ila tunadanganyana kuna siku ule mkojo ntaunywa nione unachumvi😆😆😆😂
 
Back
Top Bottom