Tatizo la kutokwa na haja ndogo wakati wa tendo la ndoa

Itakua mnafanya tendo la ndoa mikojo inawabana eh unaenda Kwa starehe umebana mkojo lol😹😹🚮
Njia za mkojo hufunga wakati wa tendo pendwa.

Kujikojolea mkojo kwenye tendo ni jambo lisilowezekana.

Tatizo lililopo kwenye mchakato mzima, kila kinachotololewa huitwa kukojoa na siyo kila kukojoa kikojolewacho ni mkojo.
 
Mtu anakupaje habari za tatizo la mke wake ilihali wewe siyo dokta. Wewe unatembea na wake za watu wewe.
 
Squirting is the release of fluid from the vagina during sex. Squirting can happen before, after, or during orgasm. In everyday use, the term refers to squirting, female ejaculation, and urination (incontinence) during sex. Not everyone with a vagina squirts.
 
Ndugu zangu hebu naombe mjaribu kuwa makini kidogo mto

Tatizo la mwanamke kushikwa na haja ndogo katikati ya tendo kinaashiria kuwa mwanaume ana nguvu za kiume kwamba akianza kumpelekea moto mke kuanzia asubuhi anafululiza hadi jioni bila kupumzika, hivyo mwanamke lazima atataka kukojoa Kwa sababu binadamu Kwa siku lazima akojoe at least mara tatu na kuendelea Kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…