Tatizo la kutokwa na haja ndogo wakati wa tendo la ndoa

Ahsante kwa mchango wako
 
Kukojoa tu wakati wa tendo pekee! natiliashaka pengine Kuna maelezo mengine hujaweka wazi, labda kama kutakua na dalili nyingine kwenye njia ya mkojo hasa kwenye misuli (Sphincter) Iko na inflammation. Kawaida haiwekani kufanya kazi kwa pamoja lazima vipeane nafasi/muda hata haja kubwa na ndogo hupeana nafasi/muda.
 

Attachments

  • Screenshot_20250330-171739.png
    839.3 KB · Views: 17
Kukojoa tu wakati wa tendo pekee! natiliashaka pengine Kuna maelezo mengine hujaweka wazi, labda kama kutakua na dalili nyingine kwenye njia ya mkojo hasa kwenye misuli (Sphincter) Iko na inflammation.
Ila tunadanganyana kuna siku ule mkojo ntaunywa nione unachumvi😆😆😆😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…