Titia
Senior Member
- Jul 3, 2013
- 155
- 114
Habari wana jamii, hongereni kwa majukumu,
Mimi ni mdada au wa miaka 34, nina watoto 3 ninahisi kama nina tatizo sasa hivi, ni kwamba wakati nikiwa msichana nilikuwa naloa sana ukeni, baadae nilivyoolewa na kuzaa ni kama vikaisha vile.
Sasa wakati huu vimerudi tena, yaani wakati mwingine mpaka inakuwa kero yale majimaji kama mlenda yanatoka sana mapaka chupi inalowana maji maji haya hayana harufu wala rangi sema yanavutika tu.
Na pia situmii family planning zaidi ya kalenda, yaani niwe kwenye heat niwe normal huwezi tofautisha nina wasiwasi isije kuwa sio hali ya kawaida.
Waungwana nisaidieni hii ni nini? Pia naogopa kwenda kwa ma gyno sababu mpaka wakuchungulie huko na kukuchokonoa hata kama haihusiki.