Tatizo la kutokwa na majimaji ukeni

Tatizo la kutokwa na majimaji ukeni

Titia

Senior Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
155
Reaction score
114
Habari wana jamii, hongereni kwa majukumu,

Mimi ni mdada au wa miaka 34, nina watoto 3 ninahisi kama nina tatizo sasa hivi, ni kwamba wakati nikiwa msichana nilikuwa naloa sana ukeni, baadae nilivyoolewa na kuzaa ni kama vikaisha vile.

Sasa wakati huu vimerudi tena, yaani wakati mwingine mpaka inakuwa kero yale majimaji kama mlenda yanatoka sana mapaka chupi inalowana maji maji haya hayana harufu wala rangi sema yanavutika tu.

Na pia situmii family planning zaidi ya kalenda, yaani niwe kwenye heat niwe normal huwezi tofautisha nina wasiwasi isije kuwa sio hali ya kawaida.

Waungwana nisaidieni hii ni nini? Pia naogopa kwenda kwa ma gyno sababu mpaka wakuchungulie huko na kukuchokonoa hata kama haihusiki.
 
Nenda Hospitali utapata majibu ya maana zaidi na yakukusaidia
 
acha kufanyiwa katerero na shemela
acha kuchezea kisimi .
inasababishwa na kinembe kusisimka. ila nikuulize unataka papuchi kavu ya nini? acha ilowane acha kuvaa chupi. kama mimi.hapa nimeloaa tena niko uchi napiga kazi kawaida tu
 
acha kufanyiwa katerero na shemela
acha kuchezea kisimi .
inasababishwa na kinembe kusisimka. ila nikuulize unataka papuchi kavu ya nini? acha ilowane acha kuvaa chupi. kama mimi.hapa nimeloaa tena niko uchi napiga kazi kawaida tu
Ww hatari sana ,huwa upo free
 
Kuna jamii furani ya fungi inasemekana husababisha hiyo hali. Na haitiki jirahisi kwamba kuondoka huwa ni ishu sana. Waulize wataalam, hasa km huwa inaambana na mwasho ikulu
 
Hahaaa ni kweli kabisa usikubali wakuchokonoe inaweza ikaanza kunyesha kubwa zaidi.
 
Hio manaake huoigi show mara kwa mara, mwambie jamaa ako ajikaze akutibu. Sio ugonjwa wa hospitali huo
 
Back
Top Bottom