Tatizo la kutokwa na mishipa kwenye ngozi.

Tatizo la kutokwa na mishipa kwenye ngozi.

Jamani huko shuleni mnaenda kusoma au kuuza sura i dought nyie watoto

kuna kitu kinaitwa vasocontrition na vasodilation

hii hutokea wakati wa joto kwa kuwa binadamu ni damu moto nikimaanisha njia ya kupoteza joto ni kupitia ngozi.joto la binadamu linapaswa kuwa centigrade 37 hivyo joto linapozidi mwili, mwili huleta damu karibu na ngozi ili kuruhusu joto kupotea
Mpaka nimeleta mada hapa sio kwamba sielewi hizo situations. Kwangu imekuwa sio kawaida na ndomana nimekuja kuomba ushaur nasaha hapa
 
Back
Top Bottom