Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweza kukaa wiki mbili mpk tatu bila kupata choo kikubwa,mwenye ufaham namna ya kutatua tatizo hili anisaidie
Naweza kukaa wiki mbili mpk tatu bila kupata choo kikubwa,mwenye ufaham namna ya kutatua tatizo hili anisaidie
weekend hii gonga nyama ya kuchoma ya kutosha na ugali halafu jaribu kugonga dreep(bia tena safari lager ama Guinness za kutosha!Naweza kukaa wiki mbili mpaka tatu bila kupata choo kikubwa, mwenye ufahamu namna ya kutatua tatizo hili anisaidie.
Naweza kukaa wiki mbili mpaka tatu bila kupata choo kikubwa, mwenye ufahamu namna ya kutatua tatizo hili anisaidie.
Hii ngumu kumesa areeweekend hii gonga nyama ya kuchoma ya kutosha na ugali halafu jaribu kugonga dreep(bia tena safari lager ama Guinness za kutosha!
Ukikosa tena kesho au usiku huo huo utuambie tukupe dozi ingine!