Mr wenu
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 1,088
- 1,666
Kama unasumbuliwa na tatizo LA kutopata hedhi mara kwa Mara.
√ chukua kijiko kimoja cha tangawizi changanya na kijiko komoja cha mdalasini.
√ weka kwenye maji nusulita.
√ chemsha mchanganyo huo na ichemke vizuri kabisa.
√ Chuja na uweke kwenye glass.
√weka kijiko komoja cha asali kisha koroga vizuri.
√ kunywa kutwa mara mbili kwa siku tatizo lako litaisha.