Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kati ya watu nashindwa waelewa wakiongea ni hao jamaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya watu nashindwa waelewa wakiongea ni hao jamaa...
watu wa arusha hawawezagi kuficha ujinga wao kila sehemu wanata waonekana wajanja kuliko.Kati ya watu nashindwa waelewa wakiongea ni hao jamaa...
😀😀Hilo neno "ko" halina neno mbadala? Yaani palipo na neno "ko" uandike lingine lilete maana sawa? Sijui kwanini hilo neno silipendi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yente...shwari, poaYente na msiew zina maana ipi Jo?
Acha mambo ya kiwaki bob 😎😎watu wa arusha hawawezagi kuficha ujinga wao kila sehemu wanata waonekana wajanja kuliko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh okay...na hiyo nyingine?Yente...shwari, poa
Mxiew! MsiewOoh okay...na hiyo nyingine?
[emoji23]Mxiew! Msiew
Ni vile mtu anasonya kwa maandishi
ndingilai wanaongea wanaoanza ushogaAcha mambo ya kiree,chali angu,,..jomoni na msiew ni maneno ya wanaume Wa dar dingilai,,,
Si watu Wa chuga hatuna hizo mambo za kiwaki aisee
Shwaini zako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mbadala wake ni kwahiyo... Ko babu we hulipendi eeh?