Tatizo la kuumia mishipa kichwani (mishipa ya macho)

mnyangara jr

Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
18
Reaction score
6
Wapendwa wanaJF, naomba msaada wenu wadhati nimesumbuliwa Kwa muda mrefu sana natatizo la kichwa kupitia mishipa ya macho,imenibidi niahirishe masomo chuo kikuu,,hua inasumbua haswa naposoma au kuangalia movie ,dalili nyingine nawezapata usingizi Wa ghafla alafu ukawa mzito sana nikishituka mishipa ya kichwa kutoka kwenye macho inauma sana, kwamwenye msaada Tafadhali naomba.note;nimezunguka hospital nyingi na miwani nimevaa mingi, ikiwepo ccbrt, na mvumi.

Ahsanteni.
 

Wataalamu njooni mtupe msaada niwengi tunatatizo hili
 
Jaman wenye msaad juu yahili Tafadhali,tusaidiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…