mnyangara jr
Member
- Sep 10, 2017
- 18
- 6
Wapendwa wanaJF, naomba msaada wenu wadhati nimesumbuliwa Kwa muda mrefu sana natatizo la kichwa kupitia mishipa ya macho,imenibidi niahirishe masomo chuo kikuu,,hua inasumbua haswa naposoma au kuangalia movie ,dalili nyingine nawezapata usingizi Wa ghafla alafu ukawa mzito sana nikishituka mishipa ya kichwa kutoka kwenye macho inauma sana, kwamwenye msaada Tafadhali naomba.note;nimezunguka hospital nyingi na miwani nimevaa mingi, ikiwepo ccbrt, na mvumi.
Ahsanteni.
Ahsanteni.