A Abdalla Darwesh New Member Joined May 8, 2013 Posts 2 Reaction score 0 May 23, 2013 #1 mdogo wangu w kike anakuwa anasumbuliwa sn n kitovu, anasema kinamuuma. Akiwa shuleni mwalimu wake alimpa chai ya moto na akampumzisha na anapotulia pia hupoa kuuma. Lakini c mara moja kumtokea hili. Naomba kujua ufumbuzi wa tatizo hili.
mdogo wangu w kike anakuwa anasumbuliwa sn n kitovu, anasema kinamuuma. Akiwa shuleni mwalimu wake alimpa chai ya moto na akampumzisha na anapotulia pia hupoa kuuma. Lakini c mara moja kumtokea hili. Naomba kujua ufumbuzi wa tatizo hili.
Ndachuwa JF-Expert Member Joined Mar 8, 2006 Posts 6,269 Reaction score 4,579 May 23, 2013 #2 Kampine ugonjwa wa apendeksi