Abdalla Darwesh
New Member
- May 8, 2013
- 2
- 0
mdogo wangu w kike anakuwa anasumbuliwa sn n kitovu, anasema kinamuuma. Akiwa shuleni mwalimu wake alimpa chai ya moto na akampumzisha na anapotulia pia hupoa kuuma. Lakini c mara moja kumtokea hili. Naomba kujua ufumbuzi wa tatizo hili.