Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Habarini za jioni Madaktari na Washauri mahiri wa jukwaa hili.
Naomba mnisaidie tatizo langu.
Kila ninapoamka asubuhi, hukuta uchi wangu umevimba mpaka unatisha.
Ni tatizo lililonianza takribani miezi kama 3 iliyopita.
Na hakuna maumivu yoyote nipatayo.
Na hunywea taratibu mpaka kurudi katika hali yake ya kawaida huchukua masaa 2 au zaidi.
MASWALI:
1. Ni ugonjwa?
2. Nimerogwa?
3. Kitumbua changu kina afya?
4. Kama ni ugonjwa, nielekezeni kwa daktari bingwa.
5. Kama nimerogwa nielekezeni kwa mganga mahiri.
Asanteni.
Nisaidieni jamani, naumbuka nikienda kulala kwa watu.