Tatizo la Kuvimba PAPUCHI kila iitwapo Asubuhi.

Status
Not open for further replies.

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,155
Reaction score
35,683
Habarini za jioni Madaktari na Washauri mahiri wa jukwaa hili.

Naomba mnisaidie tatizo langu.
Kila ninapoamka asubuhi, hukuta uchi wangu umevimba mpaka unatisha.
Ni tatizo lililonianza takribani miezi kama 3 iliyopita.
Na hakuna maumivu yoyote nipatayo.
Na hunywea taratibu mpaka kurudi katika hali yake ya kawaida huchukua masaa 2 au zaidi.

MASWALI:
1. Ni ugonjwa?
2. Nimerogwa?
3. Kitumbua changu kina afya?
4. Kama ni ugonjwa, nielekezeni kwa daktari bingwa.
5. Kama nimerogwa nielekezeni kwa mganga mahiri.

Asanteni.
Nisaidieni jamani, naumbuka nikienda kulala kwa watu.
 
... Madame B ! Una mambo! Mimi sikuwezi! Lol!
 
emu tuwekeni wazi kama kinapata haki yake ya asubuhi, make unaweza kukuta ndiyo kinalalamika we unakalia kina matatizo kumbe kiko sawa kabis! kama nakiona vile........!

Kesho kipatie haki yake alafu utupatie majibu sawa..!
 
... Duh! hii kali!
Kabla ya Madaktari, naomba kwanza wadau waijadili hii mada:
jamani wanaJF CC njoo huku msaidie Madame B:
- Baba V
- Nivea,
- Lisa,
- King'asti,
- AshaDii,
- MwanajamiiOne,
- afrodenzi,
- Kongosho,
- BADILI TABIA,
- Paloma,
- mwaJ,
- MadameX,
- Mamndenyi,
- Preta,
- marejesho,
- snowhite,
- Angel Msoffe,
- sweetlady,
- FirstLady1,
- FirstLady,
- Remmy,
- Zion Daughter,
- Kipipi,
- Roulette,
- Smile,
- Asnam,
- Binti.com,
- lara1,
- Mrembo by Nature,
- Raiza,
- cacico,
- gfsonwin,
- Asprin,
- Kiranga,
- Nyani Ngabu,
- Mwita Maranya,
- Don Mangi,
- Mungi,
- Erickb52,
- Mr Rocky,
- SnowBall,
- Dark City,
- Jeska,
- Lusile,
- Arushaone,
- Bujibuji,
- queenkami,
- KakaKiiza,
- Kipaji Halisi,
- Nicas Mtei,
- Ben Saanane,
- Chimbuvu,
- tedo,
- Chilli,
- Mwanyasi,
- marejesho,
- Passion Lady
- Polisi ben .......... na wengineo
 
Last edited by a moderator:
expire date yake unaijua usijekua kimetumika kupita kiasi
 
emu tuwekeni wazi kama kinapata haki yake ya asubuhi, make unaweza kukuta ndiyo kinalalamika we unakalia kina matatizo kumbe kiko sawa kabis! kama nakiona vile........!

Wala.
Yani niko serious.
Yaani ungekiona ungenihurumia.
 
Jaribu fanya mambo ambayo si desturi yako,yaani jaribu fanya kinyume chake
 
Habarini za jioni Madaktari na Washauri mahiri wa jukwaa hili.

Naomba mnisaidie tatizo langu.
Kila ninapoamka asubuhi, hukuta uchi wangu umevimba mpaka unatisha.
Ni tatizo lililonianza takribani miezi kama 3 iliyopita.
Na hakuna maumivu yoyote nipatayo.
Na hunywea taratibu mpaka kurudi katika hali yake ya kawaida huchukua masaa 2 au zaidi.

MASWALI:
1. Ni ugonjwa?
2. Nimerogwa?
3. Kitumbua changu kina afya?
4. Kama ni ugonjwa, nielekezeni kwa daktari bingwa.
5. Kama nimerogwa nielekezeni kwa mganga mahiri.

Asanteni.
Nisaidieni jamani, naumbuka nikienda kulala kwa watu.

Hakuna mganga mahiri zaidi ya YESU mtumaini na kumwamini tu yatosha
 
Hii nayo kali, kuna mdau anapitia makurasha nadhani kabla ya kesho asubuhi wakati bado itakuwa imetuna jibu litakuwa limepatikana weka maombi juu yake asipate usingizi leo na pia apitie makaburasha sahihi ili akuokoe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom