Tatizo la Kuvimba PAPUCHI kila iitwapo Asubuhi.

Tatizo la Kuvimba PAPUCHI kila iitwapo Asubuhi.

Status
Not open for further replies.
Habarini za jioni Madaktari na Washauri mahiri wa jukwaa hili.

Naomba mnisaidie tatizo langu.
Kila ninapoamka asubuhi, hukuta uchi wangu umevimba mpaka unatisha.
Ni tatizo lililonianza takribani miezi kama 3 iliyopita.
Na hakuna maumivu yoyote nipatayo.
Na hunywea taratibu mpaka kurudi katika hali yake ya kawaida huchukua masaa 2 au zaidi.

MASWALI:
1. Ni ugonjwa?
2. Nimerogwa?
3. Kitumbua changu kina afya?
4. Kama ni ugonjwa, nielekezeni kwa daktari bingwa.
5. Kama nimerogwa nielekezeni kwa mganga mahiri.

Asanteni.
Nisaidieni jamani, naumbuka nikienda kulala kwa watu.

Nahisi unaishuhurisha sana... Ebu punguza
 
Ndiyo huo niugonjwa nadawa nidushe daily hasa asubuhi!
 
ahahaaa shogaaa hicho kitumbua chako kina maswaibu jameni duh
mi changu kimenenepeana nataka nikifanyie diet
 
Mbona unataka kuharibu shughuli.
Mume wangu unamuitia humu wa nini?
Mweeh!
Yuko kule anajenga nchi.

nimeomba mwongozo kanuni za game kanuni ndogo ya 6 (a) imevunjwa. Nilitaka nijiridhishe ili tuendelee kujadili hîi hoja binafsi.
 
Jinsia yko! Make si wanaume ndo huwa tunasimamisha asubui. Huyo dr utamwonyeshaje bila kukucheiakachua?
 
ahahaaa shogaaa hicho kitumbua chako kina maswaibu jameni duh
mi changu kimenenepeana nataka nikifanyie diet

Ebhana e!
Sasa ukikifanyia diet kikikonda, si kitaumia shoga?
Kiache na afya yake mwaya.
 
mie magonjwa ya papuchi sikusoma kabisa. Wakati nasomea udaktari tulianzia nywele, kichwa, mikono, kifua na tumbo. Kabla hatujaanza kukistudy kiuno ada ikakata. Ikabidi niacha shule niolewe na Paw.
... Duh! hii kali!
Kabla ya Madaktari, naomba kwanza wadau waijadili hii mada:
jamani wanaJF CC njoo huku msaidie Madame B:
- Baba V
- Nivea,
- Lisa,
- King'asti,
- AshaDii,
- MwanajamiiOne,
- afrodenzi,
- Kongosho,
- BADILI TABIA,
- Paloma,
- mwaJ,
- MadameX,
- Mamndenyi,
- Preta,
- marejesho,
- snowhite,
- Angel Msoffe,
- sweetlady,
- FirstLady1,
- FirstLady,
- Remmy,
- Zion Daughter,
- Kipipi,
- Roulette,
- Smile,
- Asnam,
- Binti.com,
- lara1,
- Mrembo by Nature,
- Raiza,
- cacico,
- gfsonwin,
- Asprin,
- Kiranga,
- Nyani Ngabu,
- Mwita Maranya,
- Don Mangi,
- Mungi,
- Erickb52,
- Mr Rocky,
- SnowBall,
- Dark City,
- Jeska,
- Lusile,
- Arushaone,
- Bujibuji,
- queenkami,
- KakaKiiza,
- Kipaji Halisi,
- Nicas Mtei,
- Ben Saanane,
- Chimbuvu,
- tedo,
- Chilli,
- Mwanyasi,
- marejesho,
- Passion Lady
- Polisi ben .......... na wengineo
 
Last edited by a moderator:
mie magonjwa ya papuchi sikusoma kabisa. Wakati nasomea udaktari tulianzia nywele, kichwa, mikono, kifua na tumbo. Kabla hatujaanza kukistudy kiuno ada ikakata. Ikabidi niacha shule niolewe na Paw.
madam b anaipenda papuchi yake jamani...mi yangu sijaiona siku nyingi ndo naiangalia hapa'''ni tamuje?
 
Kitakua kinaamka na hang over afu mwenzio mi ndo ugonjwa wangu napenda sana vilivyovimbiwa ila hicho kinapoa baada ya masaa mawili? Au kina safura!?
 
Maam B, hii nayo kali. Unataka daktari atoe prescription bila hata kuona ugonjwa? Madaktari hupenda kusikia historia na kuona.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom